Maison Leshoomo

Parties & Coalitions

Born

1962

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

laikipiawest@parliament.go.ke

Telephone

0724958726

Maison Leshoomo

The fact that she received limited education doesn’t stop her from pursuing her dreams. As a victim of retrogressive culture, Leshoomo vows to help other girls to be educated to beat cultural norms that act as a hurdle. Maison’s political journey arose out of a gutsy choice she made to attend public meetings against her husband’s orders. The move opened the door for her to become a nominated councilor in 1992 a position she maintained for 10 years. She joined Maendeleo ya Wanawake in 1995 and rose to become the chairperson in Maralal District. In 2008, the Party of National Unity (PNU) nominated her to parliament. As a long serving member of the Samburu District Peace Committee, she has taken it upon herself to promote peace between the Samburu and the neighbouring communities.

All parliamentary appearances

Entries 111 to 120 of 314.

  • 23 Mar 2016 in National Assembly: Nashukuru na naunga mkono. view
  • 3 Mar 2016 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi nichangie Mswada huu. Ningependa kumshukuru aliyeleta Mswada huu. Watu wanateseka sana kwa sababu ya mambo ya ardhi. Kila ardhi ina mwenyewe lakini hakuna sheria ya kuilinda. Vita vyote vinasababishwa na ardhi na mipaka. Wananchi wanajua mipaka yao lakini kwa sababu ya ukosefu wa sheria ya kulinda ardhi, tuna vita vingi. Nikizungumzia kuhusu Kaunti ya Samburu, tuna “ardhi dhamana” na ni vigumu kujua wanaomiliki ardhi hiyo ilhali watu wanaishi hapo. Vile vile, tuna misitu na wananchi wanaishi hapo kutoka wakati Uhuru ulipopatikana na hawajui wataenda wapi. Hawawezi kulima, kulisha ng’ombe au ... view
  • 3 Mar 2016 in National Assembly: Naunga mkono Mswada huu. view
  • 17 Dec 2015 in National Assembly: Ahsante sana Mheshimiwa Spika kwa kunipa nafasi hii nichangie mambo ya hawa ndugu zetu ambao wamewekwa kwa Tume ya kuangalia wizi. view
  • 17 Dec 2015 in National Assembly: Ni Tume ya kupambana na ufisadi. Tunashukuru sana Rais wetu kwa kuangalia pembe zote za Kenya kwa sababu kuna Wakenya wengi ambao hawajawahi kuingia kwa hizi bodi na ndani ya mambo ya Serikali. Saa hii, tunaona kwamba Wakenya wote wameangaliwa pembe zote. Kwa kusema ukweli, ufisadi katika Kenya ni kali sana na ni mbaya. Sisi wote tunapambana na ufisaidi. Nataka kusema ya kwamba hawa wenzetu ambao wamechaguliwa kuwa kwa hiyo ofisi ni muhimu pia tuwapatie nguvu wapate kuangalia pembe zote za Kenya. Hiyo ni kwa sababu kila wakati, inasemekana kuna ufisadi. Sijui kama huu ufisadi unahusika na pesa au ni ... view
  • 17 Dec 2015 in National Assembly: Kwa ukweli, Ms. Sophia Lepuchirit anatoka kwetu na ni mtu tunajua. Atafawanyia Wakenya wote kazi bila ubaguzi wala upendeleo. Hatawaletea aibu Wakenya. Kwa hivyo, tunashukuru Rais wetu kwa kumteua kwa sababu ni mtu amefanya kazi kwa Serikali katika Idara ya Utawala, akiwa Mkuu wa Tarafa. Tunajua ni mama amefanya kazi. Vile vile, yeye ndiye mama wa kwanza kupata shahada ya chuo kikuu kutoka eneo la Samburu. view
  • 17 Dec 2015 in National Assembly: Kwa hivyo, nafikiri hiyo pia ni njia--- view
  • 16 Dec 2015 in National Assembly: Ahsante Mhe. Naibu Spika, kwa kunipatia nafasi hii ili nijaribu kuiunga mkono Mswada huu. view
  • 16 Dec 2015 in National Assembly: Nikizungumzia mambo ya misitu, kisheria ingekuwa muhimu kujua njia, barabara na mipaka ya misitu. Katika kaunti ya Samburu tuko na shida sana kwa sababu kuna watu wengi ambao wanaishi kwenye misitu. Ukiangalia ramani, utaona kwamba wako nje ya msitu. Lakini kwa sababu mpaka wa msitu huo haujulikani, wananchi wanahangaika. Hawajui mpaka wa msitu na mahali ambapo wanaishi. Mara kwa mara, wananchi husumbuliwa na kuambiwa wako ndani ya msitu. view
  • 16 Dec 2015 in National Assembly: Wananchi hao wako na shida sana. Hata mimi, na miaka yangu yote, nilizaliwa ndani ya msitu huo. Watu hawana shule, hospitali ama maji, na wanateseka. Mara kwa mara, wanaambiwa wahame kutoka kwa msitu. Kwa hivyo, ni muhimu mipaka ya misitu ijulikane ili wananchi pia wapate kujua iwapo wanaishi msituni ama la. Hii ni kwa sababu tumesumbuka sana katika Kaunti ya Samburu. Katika baadhi ya sehemu hizo, shule zilijengwa miaka 40 iliyopita na watu sasa hivi wanambiwa wahame kwa sababu makazi yao yako katika sehemu ya msitu. Kwa hivyo ni muhimi mipaka katika makazi ya wananchi na misitu ijulikane. Kuna mpaka ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus