Maison Leshoomo

Parties & Coalitions

Born

1962

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

laikipiawest@parliament.go.ke

Telephone

0724958726

Maison Leshoomo

The fact that she received limited education doesn’t stop her from pursuing her dreams. As a victim of retrogressive culture, Leshoomo vows to help other girls to be educated to beat cultural norms that act as a hurdle. Maison’s political journey arose out of a gutsy choice she made to attend public meetings against her husband’s orders. The move opened the door for her to become a nominated councilor in 1992 a position she maintained for 10 years. She joined Maendeleo ya Wanawake in 1995 and rose to become the chairperson in Maralal District. In 2008, the Party of National Unity (PNU) nominated her to parliament. As a long serving member of the Samburu District Peace Committee, she has taken it upon herself to promote peace between the Samburu and the neighbouring communities.

All parliamentary appearances

Entries 121 to 130 of 314.

  • 16 Dec 2015 in National Assembly: Asante kwa kunipatia nafasi hii. Tutazidi kufuata njia ya kutafuta mpaka wa msitu. view
  • 28 Oct 2015 in National Assembly: Asante sana, Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia hii nafasi nichangie Hoja hii. Kwa kweli, kuna mambo ambayo watu wanaona ni magumu kwa kila Mkenya. Kulingana na hii Ripoti, Maj. (Rtd.) Muiu, ingekuwa muhimu ikiwa mtu amekuwa mgonjwa--- Huwezi kujiletea ugonjwa. Hakuna mtu anajua ugonjwa unaweza kuingia mwilini mwake siku gani lakini wakati unawahudumia Wakenya na uwe mgonjwa, ni muhimu utambuliwe kama shujaa wa Kenya na ukiondoka kazini, uondoke inavyostahili. view
  • 28 Oct 2015 in National Assembly: Tume hii inawatatiza watu wengi. Ninashukuru Kamati ya Masuala ya Usalama na Utawala. Kuna mambo yanaendelea kwa wafanyikazi wa Serikali ambao ni polisi. Kama juzi tuliona mengi kwa gazeti. Maafisa wa Serikali walisimamishwa na wengine 70 walifutwa. Ingekuwa muhimu pia kuangalia kwa undani kwa sababu ukiambiwa watu 70 wamefutwa kazi ama wameondoka, sijui kama wote ni wabaya ama wote wataenda na malipo yao ya uzeeni ama wataenda kwa njia gani. Kwa hivyo, ninaunga mkono Kamati ya Masuala ya Usalama na Utawala. Waendelee kuangalia hayo mambo kwa sababu tukizungumzia kustaafu kwa Maj. (Rtd.) Muiu, pengine kesho utapata kesi nyingine. Kamati ya ... view
  • 28 Oct 2015 in National Assembly: Asante, Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. view
  • 6 Aug 2015 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika kwa kunipa hii nafasi nichangie hili swala la wazee wa kijiji. Nafikiria kile kitu tumeona kule vijijini ni kuwa hawa wazee wanaumia sana, na tungeomba waangaliwe zaidi. Kulingana na vile wenzangu wamezungumza, hao wazee wanafanya kazi kupita hata wale walioajiriwa. Ni wazee ambao masilahi yao hayaangaliwi, haswa sehemu za Samburu. Vile mwenzangu kutoka Pokot amesema, ng’ombe wakiibwa na akina mama au watoto wakipigwa, hawa wazee huwa na korti yao. Hiyo korti huamua kesi. Unaweza kukuta hawa wazee wanaulizwa wafuate nyayo za ng’ombe kilometa 30 ama 40, bila gari ama chakula. Hawana chochote na ndio watapeleka ... view
  • 6 Aug 2015 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu Spika; pia mimi naunga mkono zaidi hili ombi litimizwe, na pia kamati ifuate ukweli na sheria ili wazee hawa wapate njia ya kusaidika. Asante Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia nafasi hii. view
  • 6 Aug 2015 in National Assembly: (Inaudible) view
  • 6 Aug 2015 in National Assembly: Asante, Naibu Spika kwa kunipatia nafasi hii. Ningependa kusema kuwa tukiwa ndani ya hili Bunge ni lazima tuelewe sheria za Bunge. Ndugu yetu, Mhe Savula - tuna masikio na macho - alipiga kelele kabisa. Alisema Naibu Spika hana usawa. Ni vizuri aombe msamaha ili tumalize shughuli za Bunge. Hakuna haja ya kukataa. view
  • 17 Jun 2015 in National Assembly: Ahsante sana, Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ili nichangie Hoja hii ya ndoa. view
  • 17 Jun 2015 in National Assembly: Nafikiria sheria za zamani na za sasa haziwezi kulinganishwa kwa sababu mambo ya ndoa ni muhimu sana kwa wananchi na familia. Sijui ikiwa ni sheria haikutengenezwa vizuri kwa sababu, watu wanafunga ndoa lakini haimaliziki mwezi au mwaka kabla ya ndoa hiyo kuvunjika. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus