Maison Leshoomo

Parties & Coalitions

Born

1962

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

laikipiawest@parliament.go.ke

Telephone

0724958726

Maison Leshoomo

The fact that she received limited education doesn’t stop her from pursuing her dreams. As a victim of retrogressive culture, Leshoomo vows to help other girls to be educated to beat cultural norms that act as a hurdle. Maison’s political journey arose out of a gutsy choice she made to attend public meetings against her husband’s orders. The move opened the door for her to become a nominated councilor in 1992 a position she maintained for 10 years. She joined Maendeleo ya Wanawake in 1995 and rose to become the chairperson in Maralal District. In 2008, the Party of National Unity (PNU) nominated her to parliament. As a long serving member of the Samburu District Peace Committee, she has taken it upon herself to promote peace between the Samburu and the neighbouring communities.

All parliamentary appearances

Entries 131 to 140 of 314.

  • 17 Jun 2015 in National Assembly: Mara nyingi, wananchi uhangaika kwa sababu ya sheria hiyo. Mwanaume anaweza kuoa wanawake wawili ama watatu, na wote wawe na vyeti. Ndiyo watu wanashangaa ikiwa sheria hiyo ni timilifu. Kuna ndoa ya kitamaduni, ambayo ningependa kuizungumzia. Katika jamii ya Wasamburu, unapofunga ndoa, hakuna mtu ambaye anaweza kuisimamisha. Hata uende wapi, hautaweza kuisimamisha. Jamii zote nchini zilikuwa namna hiyo. Hiyo ndiyo maana ya ndoa za The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 17 Jun 2015 in National Assembly: kitamaduni. Zinatambulika zaidi tukizilinganisha na ndoa za namna nyingine, zikiwemo za kikristo na za kortini. view
  • 17 Jun 2015 in National Assembly: Katika jamii hiyo, ukifunga ndoa bila ya ng’ombe ndume kuchinjwa asubuhi, wewe bado hujaolewa! Ukiwambia Wasamburu eti uko na cheti cha ndoa kutoka kortini ama kwa DC, hawatakitambua cheti hicho. Sheria za ndoa zitakuwa muhimu sana ikiwa zitashikanishwa na sheria za ndoa za kitamaduni. Hiyo ni kwa sababu katika jamii, kuna watu ambao wanaamini kwamba ndoa za kitamaduni ni bora kuliko ndoa za Serikali. Kwa hivyo, inafaa ndoa zote zishikanishwe, na kila mtu ajue kwamba aina zote za ndoa zimeshikanishwa. Hatufai kutupilia mbali ndoa za kitamaduni na kufuata ndoa aina nyingine. Kulingana na sheria hii, tunafaa kujua watu wataenda wapi ... view
  • 17 Jun 2015 in National Assembly: Kwa hivyo, ningependa tuiunge mkono sheria hii na tuiunganishe na sheria za kitamaduni kwa sababu watu wanafurahia ndoa za kitamaduni zaidi. Kwa hivyo, naunga mkono Hoja hii ili tuweze kuingalia sheria hii vizuri ili watu waache kuoana kwa njia ambazo hazieleweki. view
  • 17 Jun 2015 in National Assembly: Ahsante sana, Bi. Naibu Spika wa Muda. view
  • 1 Apr 2015 in National Assembly: Asante sana Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Naunga mkono Hotuba ya Rais kwa ukweli na haki na kwa njia yote kwa sababu, kile amenena Wakenya wote wamefurahia. Katika Hotuba yake Rais amenena zaidi kwa kila kitu na wenzangu wote wamezungumza. view

  • 1 Apr 2015 in National Assembly: Ningependa kuzungumzia mambo ya unyakuzi wa mifugo na usalama. Mambo ya usalama ni muhimu sana katika Kenya yetu. Tujue bila usalama hakuna vile tunaweza kuishi. Ningezungumzia kwa upande wa wafugaji. Ningeomba Mheshimiwa Rais aangalie zaidi mambo ya usalama kwa upande wa wafugaji kwa sababu inaonekana kuwa hiyo imekuwa biashara. Vita vile tunapigana pale imekuwa ni biashara ama wizi. Kwa kweli Mheshimiwa Rais amesema kuwa wale wamepata taabu ya vita mbeleni--- Wafugaji wamepoteza waume wao na mali. Mimi pia ningesema wafugaji walipwe fidia. Tumepoteza watu, mali na kila Mkenya anajua kuwa mahali ambapo ninatoka, watu wengi wamekufa na hadi wakati huu ... view

  • 1 Apr 2015 in National Assembly: . Ningesema ni vyema ijulikane ni kwa nini shida inatokea katika pande hizo za wafugaji kila wakati. Kuna mambo ya ukame. Ingefaa tuliangalie jambo la ukame kwa sababu ukame uko kila mwaka. Tunategemea mvua ya Mwenyezi Mungu. Ingefaa pia hayo mambo ya ukame yaangaliwe kwa sababu watu wanaenda kuzunguka kutafuta nyasi. Wakati wananchi wanaenda kutafuta nyasi, jambo hili linaleta shida. Kwa hiyvo, ninaunga mkono. Tunaambia Rais asimame hivyo na aendelee hivyo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus