Maison Leshoomo

Parties & Coalitions

Born

1962

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

laikipiawest@parliament.go.ke

Telephone

0724958726

Maison Leshoomo

The fact that she received limited education doesn’t stop her from pursuing her dreams. As a victim of retrogressive culture, Leshoomo vows to help other girls to be educated to beat cultural norms that act as a hurdle. Maison’s political journey arose out of a gutsy choice she made to attend public meetings against her husband’s orders. The move opened the door for her to become a nominated councilor in 1992 a position she maintained for 10 years. She joined Maendeleo ya Wanawake in 1995 and rose to become the chairperson in Maralal District. In 2008, the Party of National Unity (PNU) nominated her to parliament. As a long serving member of the Samburu District Peace Committee, she has taken it upon herself to promote peace between the Samburu and the neighbouring communities.

All parliamentary appearances

Entries 161 to 170 of 314.

  • 25 Jun 2014 in National Assembly: Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda. Tunaunga mkono Mswada huu ambao umeletwa na Mhe. Chachu kuhusu ukame. Hii si mara ya kwanza tunazungumza kuhusu mambo ya ukame. Jambo hili lilizungumzwa katika Bunge la Tisa na la Kumi na bado jawabu halikupatikana. view
  • 25 Jun 2014 in National Assembly: Ukame umezidi katika kaunti nyingi nchini Kenya, hasa katika Kaunti ya Samburu ambayo ninawakilisha. Wazee wanakaa nyumbani katika kaunti za Marsabit na Turkana ilhali mifugo inapelekwa kila mahali. Hili ni jambo ambalo linafaa liangaliwe sana. Wananchi wanaumia kutokana na njaa. Pia, mifugo wanafariki kwa sababu ya ukame. Hata wanyama wa pori wanafariki kwa sababu ya ukame. view

  • 25 Jun 2014 in National Assembly: Pengine Kamati ya Kilimo katika Bunge inafaa ilete ripoti kuhusu huu ukame. Hii ni kwa sababu ukame umezidi. Hata mashamba ambayo yamelimwa yameanza kukauka kwa sababu hakuna mvua. view

  • 25 Jun 2014 in National Assembly: Wakati mvua inanyesha tunaona maji yakibeba nyumba na vitu vingine na maji mengi huelekea baharini. Sifahamu kwa nini hatuwezi kuyahifadhi ili wakulima wayatumie kunyunyizia mashamba yao. view

  • 25 Jun 2014 in National Assembly: Inafaa Kamati ya Kilimo izunguke katika nchi hii kwa sababu mambo ni mabaya sasa hivi. Si ajabu tutapata watu wamekufa kwa sababu ya njaa. Inafaa mifugo wauzwe The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

  • 25 Jun 2014 in National Assembly: kwa bei ambayo inafaa kwa sababu wakati mwingine bei yao inashuka kwa sababu wafugaji hawana soko. Njaa ni mbaya na ni lazima tutafute namna tutasaidika. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus