Maison Leshoomo

Parties & Coalitions

Born

1962

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

laikipiawest@parliament.go.ke

Telephone

0724958726

Maison Leshoomo

The fact that she received limited education doesn’t stop her from pursuing her dreams. As a victim of retrogressive culture, Leshoomo vows to help other girls to be educated to beat cultural norms that act as a hurdle. Maison’s political journey arose out of a gutsy choice she made to attend public meetings against her husband’s orders. The move opened the door for her to become a nominated councilor in 1992 a position she maintained for 10 years. She joined Maendeleo ya Wanawake in 1995 and rose to become the chairperson in Maralal District. In 2008, the Party of National Unity (PNU) nominated her to parliament. As a long serving member of the Samburu District Peace Committee, she has taken it upon herself to promote peace between the Samburu and the neighbouring communities.

All parliamentary appearances

Entries 211 to 220 of 314.

  • 9 Jan 2013 in National Assembly: Bi. Naibu Spika wa Muda ningependa kumwunga mkono Waziri wa Fedha na kumwambia ahsante kwa yale aliyoyafanya katika Mswada huu. Yeye ametulia na kuvumilia. Amesikia maoni ya Wabunge na kwa hivyo tunaunga mkono. view
  • 2 Jan 2013 in National Assembly: Asante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii ili niweze kuunga mkono Mswada huu. Ningependa kuungana na wenzangu ili kuchangia mambo ya machifu. Vile machifu na manaibu wao wanafanya kazi katika kata ndogo na tarafa, inaonekana hawa ni watu ambao wako tayari kufanyia nchi yetu kazi bila kubagua mtu na bila kuingia siasa. Hawa ni watu wemejitolea kwa kila njia ili kufanya kazi kwa nchi yetu bila kubagua mtu yeyote. Hawa ni watu ambao wanafanya kazi nyingi. Ukiangalia kazi ya chifu utapata kwamba anafanya kazi kama ya koti. Utapata kwamba watu wanapeleka kesi kwake kabla ifikishwe kwa ... view
  • 19 Dec 2012 in National Assembly: Asante Bw. Spika kwa kunipa hii nafasi ili niungane na wenzangu kutoa shukrani kwa Mhe. Rais kwa ile kazi yote amefanya katika Kenya. Nimefurahia, na hasa natoa shukrani za Wasamburu na Maa community kwake kwa kutupatia nafasi ya kuingia katika Bunge hili; ni nafasi ambayo hatukupata kwa miaka mingi. Uhuru upatikane; tunashukuru sana. Hii ni rekodi ambayo haitasahaulika katika Maa community. Asante. view
  • 11 Oct 2012 in National Assembly: Asante sana, Bi Naibu Spika wa Muda. Ningependa kuuliza Waziri Msaidizi swali kuhusu kitambulisho na birth certificates ambalo tumeuliza kwa Bunge hili kwa muda mrefu. Angechukua jukumu kutembea ili alete ripoti kamili kwa sababu kuna shida kubwa katika maeneo mengi ya Bunge. view
  • 11 Oct 2012 in National Assembly: Asante sana, Bi Naibu Spika wa Muda. Ningependa kuuliza Waziri Msaidizi swali kuhusu kitambulisho na birth certificates ambalo tumeuliza kwa Bunge hili kwa muda mrefu. Angechukua jukumu kutembea ili alete ripoti kamili kwa sababu kuna shida kubwa katika maeneo mengi ya Bunge. view
  • 26 Sep 2012 in National Assembly: Bw. Spika, ningependa Waziri aseme ukweli kwa sababu hizi view
  • 26 Sep 2012 in National Assembly: hazijafika katika Samburu, Turkana na Pokot. Je, hizi towels zinapeanwa wapi? view
  • 26 Sep 2012 in National Assembly: Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Ni muhimu kusema ukweli katika Bunge hili. Nilitoka Samburu North jana na nilikuwa huko wiki nzima wakati shule zilikuwa zimefungwa. Hatukusikia kuwa hizi towels zimefika. Je, hizi towels zilepelekwa huko lini ili niende kufuata jambo hilo? view
  • 5 Sep 2012 in National Assembly: Madam Naibu Spika wa Muda, ningependa kumshukuru Waziri kwa ile kazi nzuri anayoifanya. Ningependa waangilie ambulances na pikipiki ambazo walitoa. Waunde sheria kwa sababu hizo pikipiki na ambulances sio matatu. Kama mtu ni mgonjwa, unaambiwa uweke mafuta ili waende kuchukua mgonjwa. Ningependa kumwambia Waziri aunde sheria ya kulinda hizo ambulances na pikipiki. Watu wetu hutegemea mifugo. Wanauza mifugo ili pengine wapate pesa ya kupeleka mgonjwa hospitali. Kama mtu ni mgonjwa usiku, utaenda kuuza mifugo saa ngapi ili uweke mafuta kwa gari? Naomba Waziri atusaidie kwa sababu tuna shida kubwa. view
  • 29 Aug 2012 in National Assembly: Asante sana Bw. Naibu Spika. Ningependa tu kumwambia Waziri Msaidizi kwamba kwa sababu hii mambo ya masoko katika eneo Bunge zote ni mbaya, angefaa kuenda kuzunguka na kuleta ripoti ya ukweli ili ijulikane hii imeanzwa vibaya na hii imeanzwa vizuri kwa sababu nafikiri yote haijafanyika vile walikuwa wanataka. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus