The fact that she received limited education doesn’t stop her from pursuing her dreams. As a victim of retrogressive culture, Leshoomo vows to help other girls to be educated to beat cultural norms that act as a hurdle. Maison’s political journey arose out of a gutsy choice she made to attend public meetings against her husband’s orders. The move opened the door for her to become a nominated councilor in 1992 a position she maintained for 10 years. She joined Maendeleo ya Wanawake in 1995 and rose to become the chairperson in Maralal District. In 2008, the Party of National Unity (PNU) nominated her to parliament. As a long serving member of the Samburu District Peace Committee, she has taken it upon herself to promote peace between the Samburu and the neighbouring communities.
23 Aug 2012 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, pia mimi ningechangia kusema ikiwa Wakenya wanakufa namna hiyo, na pengine inajulikana ni nani anamaliza akina mama na watoto, ningeomba Waziri achukue hatua ya haraka. Sasa hivi vile tunaongea, watu zaidi ya 60 wameuawa. Na tunapata wengine wakiongea kama huyu Bw. Godhana – mimi sijui jina lake – lakini kile alichosema pale kiliniumiza roho. Alisema hatakwenda kwa mkutano ule Mhe. Haji yuko. Mr. Haji hayuko hapo kama nyumba yake. Yuko hapo kama muakilishi wa Ofisi ya Kenya nzima. Kwa hivyo, sijui ni kwa nini hangechukuliwa hatua kwa sababu ni kama anajua ni nini kinachofanyika huko.
view

Asante sana, Bw. Naibu Mwenyekiti wa Muda. Hakuna kitu cha muhimu kama kuweka siri. Ukipeana siri utakuwa umeiuza nchi. Siri ni kitu cha maana sana. Kwa mfano, saa hii tuko na Linah. Tukikosana naye, kesho naweza kusema kila kitu kumuhusu kwa sababu tumekosana. Ningeomba hiyo siri iwekwe.

Bw. Naibu Mwenyekiti wa Muda, ningependa kusema kwamba ng’ombe wana wenyewe. Hakuna haja ya kuongea juu ya ng’ombe hapa na huna ng’ombe. Kuna wenye ng’ombe.

16 Aug 2012 in National Assembly:
Bw. Spika, ningependa kumuuliza Naibu Waziri swali kwa sababu hawa wanajeshi wa Uingereza wameleta shida katika sehemu hiyo. Kila wakati, maswali yanaulizwa hapa lakini hatujaona yakifuatiliwa. Maswali haya yanajibiwa kiukweli ama ni kwa kujibu tu? Kuna sheria lakini hao wanajeshi ni kama wanatawala sehemu hiyo. Hakuna mtu anapita karibu hapo. Kuna mambo mengi yanayotendeka kama ubakaji na mengineyo. Kwa hivyo, ni kama sisi hatuna haki katika nchi hii yetu. Kwa hivyo, ningependa Naibu Waziri aseme na kutenda. Hakuna haja ya kusema bila vitendo.
view