Maison Leshoomo

Parties & Coalitions

Born

1962

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

laikipiawest@parliament.go.ke

Telephone

0724958726

Maison Leshoomo

The fact that she received limited education doesn’t stop her from pursuing her dreams. As a victim of retrogressive culture, Leshoomo vows to help other girls to be educated to beat cultural norms that act as a hurdle. Maison’s political journey arose out of a gutsy choice she made to attend public meetings against her husband’s orders. The move opened the door for her to become a nominated councilor in 1992 a position she maintained for 10 years. She joined Maendeleo ya Wanawake in 1995 and rose to become the chairperson in Maralal District. In 2008, the Party of National Unity (PNU) nominated her to parliament. As a long serving member of the Samburu District Peace Committee, she has taken it upon herself to promote peace between the Samburu and the neighbouring communities.

All parliamentary appearances

Entries 31 to 40 of 314.

  • 16 Oct 2019 in National Assembly: ya wanyama. Ni muhimu kwa sababu wafugaji wa wanyama wanaumia kwa sababu hawana njia yoyote ya kufaidika au kusaidia familia zao kutokana na wanyama wao. Wale wanaokuza miwa, majani na kahawa wako na njia zote za kujisaidia. Wana soko. Kwa mfano, kuna soko la Kahawa ya Kenya katika kila nchi. Tukipata bodi inayoweza kuwasaidia wafugaji wa wanyama, watapata njia za kufaidika. Tunajua vizuri sana kwamba wafugaji wa wanyama humu nchini hawana njia yoyote ya kujifaidisha isipokuwa kutokana na hao wanyama. Kule Samburu ninakotoka na katika sehemu nyingine kama Laikipia, Turkana na Pokot, utaona wanyama wanapigwa risasi kama wanyamapori. Kwa sababu ... view
  • 15 Oct 2019 in National Assembly: Asante, Mhe Spika kwa kunipatia nafasi hii. Sote tuna maoni kuhusu misitu kwa sababu misitu inaathiri maisha ya wananchi wote nchini. Wakati watarudia kuangalia Ripoti hiyo, nawaomba Mwenyekiti na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 15 Oct 2019 in National Assembly: Kamati yake wazunguke Kenya nzima kwa sababu kuna shida ya misitu kila pahali, haswa katika Kaunti ya Samburu. Tuko na shida kubwa. Wengine wetu ni wakimbizi. Tulizaliwa kwenye msitu na hatuna mahali pakuita kwetu hadi leo. Kwa hivyo, naomba kuwa ikiwa watarudia, wazunguke Kenya yote. Asante. view
  • 28 Nov 2018 in National Assembly: Asante sana Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi hii. Ya kwanza ninashukuru Majority Leader, Hon. Duale, kwa njia ambayo ametuonyesha. Tulikuwa hapa wakati huu Mswada ulipoletwa. Ninashukuru Wabunge wenzangu wote kwa sababu ile sura wametuonyesha ni mbili. Kuna sura ya raha, wanatupatia meno na ndani ya roho, hatujui kama wako nasi. view
  • 28 Nov 2018 in National Assembly: Ni lazima tufuate Katiba yetu. Ningeomba kusema kusongesha sio kuanguasha. Tujadiliane kama watu wa tumbo moja na watu wanaopendana. Mhe. Spika kuna tatizo kidogo kwa ile njia ambayo wanasema turekebishe ndio tuwe kitu kimoja. Kwa sababu kile wanaongea, nasiwezi kusema hapa, sio ile njia ambayo tunata ka kwa sababu huu Mswada ukipita haupiti kwa sababu ya akina mama peke yake. Utapita kwa sababu ya sisi wote kama Wakenya. Tunaulizwa na kila Mkenya kama Mswada huu utapita. Kwa kila eneo Bunge, kila mama anafaa kumshika Mbunge wake ili kama anang’etang’eta, tutajua ni yeye ametuangusha. Ni lazima tujitokeze. Kila mtu amshike Mbunge ... view
  • 21 Nov 2018 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu wa Spika. Mimi pia naunga mkono Mswada huu wa akina mama Kenya nzima. Ningependa kusema kwamba nilikuwa katika Mbunge la Kumi na la Kumi na Moja. Ninawashukuru wale ambao wametupatia baadhi yetu uteuzi wa kuwa katika Bunge hili. Kama Mhe. Leshoomo Maison hangeteuliwa kujiunga na Bunge la Kumi na marehemu Bi wa Taifa Lucy Kibaki, pengine akina mama kutoka jamii ya Maa hawangekuwa katika Bunge hili leo. Ninasema hivyo kwa sababu tulifunguliwa njia. Ndio maana tukapata Mhe. Peris akiwa amechaguliwa, Mhe. Naisula Lesuuda akiwa amechaguliwa, Mhe. Sarah Korere akiwa amechagula na Wabunge wengine wawili ambao wameteuliwa. ... view
  • 21 Nov 2018 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 21 Nov 2018 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika, nimemaliza. Kazi zote za akina mama zinafanywa na sisi. Kila kitu kinafanywa na wamama. Hata nyumba ikiwa baridi wewe huwezi kuingia. Kwa hivyo, tunaomba Kenya nzima ituunge mkono. Saa hii ninashangaa kila Mjumbe anatoka nje. Katika Bunge la Kumi na la Kumi na Moja tulipigania Mswada huu na ninaomba tuupitishe. Ninaunga mkono na ninawaomba magavana wetu mahali popote wanapotusikiza, watuunge mkono. Wawakilishi wetu wote wa kaunti pia watuunge mkono. view
  • 22 Aug 2018 in National Assembly: Asante sana Naibu Spika. Ningependa kuunga mkono swala hii. Kwa kweli mambo ya wanyama na wananchi imekuwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 22 Aug 2018 in National Assembly: kali kwa muda mrefu. Bado haijajulikana sababu ya wanyama wa msituni kuua watu na bado kuna shida ya malipo. Kule ninakotoka, watu wanaoishi karibu na wanyama wanateseka sana haswa wakati wa ukame. Wakati huo, utapata wanyama wa msituni wanang’ang’ania maji, ng’ombe na wanaua watu na bado walioathirika hawajalipwa hadi sasa. Ningeomba ijulikane kuwa kuna shida katika Wizara hiyo na Serikali inafaa kutatua shida hiyo. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus