Thomas Mwadeghu

Full name

Thomas Ludindi Mwadeghu

Born

1953

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

wundanyiconstituency@yahoo.com

Email

Wundanyi@parliament.go.ke

Telephone

0724-285347

All parliamentary appearances

Entries 91 to 100 of 604.

  • 1 Dec 2016 in National Assembly: Kwa kauli moja tulikubaliana makao makuu yawe jiji la Mwatate na ndio Mswada huu umeletwa. Kwa hayo mengi, naunga mkono Mswada huu kuwa jiji la Mwatate liwe ndilo makao yetu ya Kaunti ya Taita Taveta. view
  • 24 Nov 2016 in National Assembly: Nakushukuru, Mhe. Naibu Spika, kwa mwongozo ambao umetupatia kutokana na ujumbe wa Seneti. Ninamuunga mkono Mhe. Duale kwa mambo ambayo ameyazungumzia hapa Bungeni. Amesema kwamba Bunge hili haliwezi kupitisha suala lolote bila kufuata sheria na sera zilizoko. Naliheshimu Bunge la Seneti na nitaendelea kuliheshimu, lakini kuna sheria ambazo zinatakiwa kufuatwa. Imebainika wazi kuwa Wanakamati wetu walioliangalia suala hilo hawakuridhika na mambo ambayo yamefanyika. Ndiposa Bunge la Taifa likaonelea kwamba sheria zilizowekwa kuhusu hundi hii haziambatani na utaratibu unaohusu hazina kuu ya taifa. Sheria hizo haziambatani na mkataba uliowekwa kuhusu usimamizi wa fedha za umma. Kwa hivyo, ninamuunga mkono Mhe. Duale. ... view
  • 24 Nov 2016 in National Assembly: Nakushukuru, Mhe. Naibu Spika, kwa mwongozo ambao umetupatia kutokana na ujumbe wa Seneti. Ninamuunga mkono Mhe. Duale kwa mambo ambayo ameyazungumzia hapa Bungeni. Amesema kwamba Bunge hili haliwezi kupitisha suala lolote bila kufuata sheria na sera zilizoko. Naliheshimu Bunge la Seneti na nitaendelea kuliheshimu, lakini kuna sheria ambazo zinatakiwa kufuatwa. Imebainika wazi kuwa Wanakamati wetu walioliangalia suala hilo hawakuridhika na mambo ambayo yamefanyika. Ndiposa Bunge la Taifa likaonelea kwamba sheria zilizowekwa kuhusu hundi hii haziambatani na utaratibu unaohusu hazina kuu ya taifa. Sheria hizo haziambatani na mkataba uliowekwa kuhusu usimamizi wa fedha za umma. Kwa hivyo, ninamuunga mkono Mhe. Duale. ... view
  • 23 Nov 2016 in National Assembly: Nakushukuru, Mhe. Naibu Spika, kwa mwongozo ambao umetupatia kutokana na ujumbe wa Seneti. Ninamuunga mkono Mhe. Duale kwa mambo ambayo ameyazungumzia hapa Bungeni. Amesema kwamba Bunge hili haliwezi kupitisha suala lolote bila kufuata sheria na sera zilizoko. Naliheshimu Bunge la Seneti na nitaendelea kuliheshimu, lakini kuna sheria ambazo zinatakiwa kufuatwa. Imebainika wazi kuwa Wanakamati wetu walioliangalia suala hilo hawakuridhika na mambo ambayo yamefanyika. Ndiposa Bunge la Taifa likaonelea kwamba sheria zilizowekwa kuhusu hundi hii haziambatani na utaratibu unaohusu hazina kuu ya taifa. Sheria hizo haziambatani na mkataba uliowekwa kuhusu usimamizi wa fedha za umma. Kwa hivyo, ninamuunga mkono Mhe. Duale. ... view
  • 19 Oct 2016 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu Spika, kwa nafasi hii uliyonipatia ili nami nitoe mchango wangu kuhusu wakurugenzi wa CBK ambao wamehojiwa na Kamati yetu ya Fedha, Mipango na Biashara. Kwanza, napinga Ripoti hii. Nina sababu zangu kwa nini sikubaliani nayo. Sababu ya kwanza ni kwamba tunatafuta wakurugenzi wa CBK. Sina haja ya ukabila. Hata kama kuna ukabila ambao utaonekana, kama mheshimiwa aliyezungumza hivi sasa alivyosema, basi peaneni kwa watu wenye ufasaha wa kazi, ambao wanaelewa na wana kisomo cha kiuchumi. Lakini nikianza kuangalia hapa, naona labda ndugu yangu Ruparel ana kisomo, ujuzi, ufasaha na anaelewa kazi ya kiuchumi. Huyo sina shida naye ... view
  • 19 Oct 2016 in National Assembly: tukiangalia Ripoti ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali, tuna lawama na aliyekuwa mkuu wa CBK ambaye ameshastaafu. Alipitishwa hapa hapa baada ya lawama nyingi. Mnataka tena tufanye hivyo? Naomba iende katika nakala za Bunge na iwekwe wazi kuwa Mhe. Mwadeghu, siku hii ya leo, alitoa msimamo wake. Kwa haya mengi, ninapinga Ripoti hii. Asante. view
  • 12 Oct 2016 in National Assembly: Ahsante Mhe. Spika. Naomba kuunga mkono Hoja hii ya mabadaliko ya Wabunge katika nyadhifa mbalimbali za kamati. Kama unavyoelewa, imebidi mara nyingine tuje mbele ya Bunge tuombe kibali cha kupatia Wabunge kamati mbalimbali kulingana na uzito wa kazi vile ulivyo. Kama tunavyoona, tuko na Mhe. Opiyo Wandayi, ambaye kama mnavyojua kuna wakati alikuwa na tatizo. Kwa hivyo, tunamrudisha maana tulikuwa tumekwishapeana nafasi katika kamati mbalimbali. Imebidi basi tufanye mabadiliko na ukarabati ili angalau nafasi zipatikane ndiposa kila moja apate nafasi yake. Tumejadiliana na ikatubidi tufanye mageuzo yanayowahusu wenzetu katika kamati mbalimbali ili wapate kupelekwa kufanya kazi katika kamati nyingine. Wapo ... view
  • 5 Oct 2016 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii ili nami nitoe mchango wangu kwa kuunga mkono Ripoti hii ya Mashirika ya Serikali ambayo imetolewa na Kamati ya Uwekezaji. Ripoti hii imeangazia mambo kadha wa kadha kuhusu mashirika ya Serikali. Inafafanua kwa uwazi changamoto ambazo mashirika haya yanapitia. Nitaanza na hali hafifu ya uwajibikaji kwa kitengo cha hesabu za fedha. Uhasibu ni kitu muhimu katika shirika lolote, utendaji kazi wowote ama kampuni yoyote. Inaweza kubainisha waziwazi kama shirika hilo ama kampuni hiyo linaendesha kazi zake kulingana na wajibu wake. Katika mashirika haya yote ambayo yalikuja mbele ya Kamati ya ... view
  • 5 Oct 2016 in National Assembly: La kushangaza ni kuwa utakuta pia wakurugenzi ambao wanatakiwa waendeshe mashirika haya mara nyingi muda wao wa kuhudumu katika mashirika hayo huwa umeisha. Ukishaisha, inachukua muda mrefu sana kuona wengine wameteuliwa. Wale wanahitajika kuhakikisha hawa wakurugenzi wameteuliwa huwa wamelala na kuzembea katika kazi yao. Unakuta mashirika haya yanaendeshwa bila wakurugenzi. Tukiangalia sheria za kampuni, tunaona ziko wazi. Utendajikazi wa kampuni yoyote, mwelekeo wake na mwongozo wake unatolewa na wakurugenzi wakisaidiwa na mkurugenzi mkuu. Kama mkurugenzi mkuu ameachwa peke yake, yeye pamoja na maafisa wake watafanya watakalo, na mara nyingi huwa ni uporaji wa pesa za umma. Pesa za umma zimeporwa ... view
  • 5 Oct 2016 in National Assembly: , imewekwa ili kuhakikisha kuwa kama kuna vifaa vyovyote vinanunuliwa ama kuna tenda yoyote inatakiwa kupeanwa na kampuni ama shirika, kuna utaratibu unatakiwa ufuatwe. Mara nyingi, utakuta kuwa hakuna mtu anashughulika kufuata utaratibu huo. Tunaomba wale ambao wanahusika kuhakikisha kuwa mashirika haya yanafanya kazi ilivyotakikana, wanawajibika iwezekanavyo. Kwa hayo mengi, ninaomba kuunga mkono Ripoti hii ili Bunge iipitishe. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus