Maison Leshoomo

Parties & Coalitions

Born

1962

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

laikipiawest@parliament.go.ke

Telephone

0724958726

Maison Leshoomo

The fact that she received limited education doesn’t stop her from pursuing her dreams. As a victim of retrogressive culture, Leshoomo vows to help other girls to be educated to beat cultural norms that act as a hurdle. Maison’s political journey arose out of a gutsy choice she made to attend public meetings against her husband’s orders. The move opened the door for her to become a nominated councilor in 1992 a position she maintained for 10 years. She joined Maendeleo ya Wanawake in 1995 and rose to become the chairperson in Maralal District. In 2008, the Party of National Unity (PNU) nominated her to parliament. As a long serving member of the Samburu District Peace Committee, she has taken it upon herself to promote peace between the Samburu and the neighbouring communities.

All parliamentary appearances

Entries 241 to 250 of 314.

  • 10 May 2012 in National Assembly: Asante, Bw. Spika. Je, ni njia gani mwafaka atakazotumia kuwasaidia watoto vigugumizi kutoka jamii maskini? view
  • 14 Mar 2012 in National Assembly: Ahsante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda. Mimi pia ninaiunga mkono Hoja hii. Kwa kweli, hakuna mtu ambaye angefurahia kile kitendo ambacho kilitendeka kweny steji ya mabasi ya Machakos hapa mjini Nairobi. Maisha ya watu yanafaa kulindwa. Jambo la kushangaza ni kwamba kila kunapotokea jambo kama hili, tunalaumu wanamgambo wa kundi la Al Shabaab. Inafaa tuangalie hali hii ili kubainisha ni shida gani tulionayo. Hii ni mara ya nne mabomu kulipuka. Kila wakati inasemekana tu bomu limelipuliwa pale ama pale. Tunangonjea kitu gani kifanyike ndiyo tusikie uchungu? Ni watu wangapi watakufa ndiyo tusikie uchungu kama hatuwezi kusikia uchungu kufuatia vifo ... view
  • 13 Mar 2012 in National Assembly: Bw. Spika tunataka kujua mbegu iko wapi. Kuna watu wanahitaji mbegu na sio fertilizer. view
  • 1 Sep 2011 in National Assembly: Bw. Spika, ningeomba kumuuliza Waziri Msaidizi atueleze mipango yake ya kuikarabati barabara ya Samburu hadi Baragoi. Magari yanayobeba chakula cha misaada hayawezi kufika Baragoi kwa sababu barabara hii ni mbaya sana. Je, tunaweza kutumia ndege kupeleka chakula huko kwa sababu barabara hii ni mbaya sana? Hatutaki kuona watu wetu wakifaa njaa. view
  • 1 Sep 2011 in National Assembly: Jambo la Nidhamu, Bw. Spika. Ningesema kwamba--- view
  • 1 Sep 2011 in National Assembly: Bw. Spika, watu wanaumia. Wangepewa ndege kwa sababu kusema watatuma watu ambao hawaendi si vizuri; wangetumia ndege kuwapelekea watu chakula. Kuanzia wiki ijayo kile kimebaki kitaisha, na watapata watu wamekufa kwa sababu ya njaa. view
  • 25 Aug 2011 in National Assembly: Bw. Spika, ningependa kuuliza Waziri Msaidizi juu ya barabara ya Maralal-Baragoi kwa sababu haipitiki. Hii barabara iko katika hali mbaya na hata chakula cha msaada hakiwezi kupitishwa ilhali watu wanakufa njaa. Kama ni mambo ya barabara, afadhali angalie barabara zote. view
  • 24 Aug 2011 in National Assembly: Ahsante sana, Bw. Naibu Spika. Ningependa kuunga mkono mambo ya kamati hii. Kitu cha muhimu ni mwananchi kupata huduma za Serikali karibu naye. Kamati hii itakuwa muhimu na itasaidia wananchi wote wa Kenya. Saa zingine, unaweza kupata kamati imeundwa lakini haiyajali masilahi ya wale walio mashinani. Kamati kama hizo hazijali watu walio mbali. Zinashughulikia watu wanaoishi sehemu kama vile Nairobi, Mombasa na Kisumu. Ukiangalia wananchi ambao wako katika sehemu za mashinani, ni watu waliotengwa. Ikiwa itasemekana kupata kazi katika kamati lazima mtu awe na digrii au Masters degree, je, Wakenya wote wamesoma mpaka wakafika viwango hivyo? Sio wote waliosoma. Wale ... view
  • 10 Aug 2011 in National Assembly: Bwana Naibu Spika wa Muda, ningependa kumuuliza Minister mambo ya polytechnics. Kuna sehemu ambazo zina shida ya polytechnics kama vile Samburu. Sehemu hii ina shida ya polytechnics kwa sababu makanisa yamechukua vituo hivyo. Sijui wako na mpango gani kuhusu sehemu kama hizo. Pia ningepeda kuuliza swali kuhusu wachungaji misituni. Ningependa kujua Waziri ako na mipango gani kuwahusu. view
  • 8 Jun 2011 in National Assembly: Asante Bw. Naibu Spika. Mimi pia ningesema juu ya mambo ya wakimbizi wa ndani kwa ndani. Watu wanakimbizwa, na ninaamini kwamba kweli wako kila maahali. Hii ni kwa sababu tukisema ni wale tu walipigana kwa sababu ya siasa, kuna wale wamenyang’anywa ng’ombe na kila kitu, na hawana pahali pa kuishi; hakuna mtu anayewachukua kama wakimbizi wa ndani kwa ndani. Mimi pia ningeomba Kamati hii iwafikirie watu ambao wametoroka makwao katika Kenya nzima. Ukienda kila pahali utakuta wakimbizi. Ningependa Kamati hii itembelee kila pahali kwa sababu kuna wakimbizi wa ndani kwa ndanii. Asante Bw, Naibu Spika wa kunipatia nafasi hii. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus